Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 16:13
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 13 Basi Samweli akachukua ile pembe ya mafuta+ na kumtia mafuta mbele ya ndugu zake. Na roho ya Yehova ikaanza kumtia nguvu Daudi kuanzia siku hiyo na kuendelea.+ Baadaye Samweli akainuka na kwenda zake Rama.+

  • 1 Samweli 17:58
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 58 Ndipo Sauli akamuuliza: “Mvulana, wewe ni mwana wa nani?” Daudi akamjibu: “Mimi ni mwana wa mtumishi wako Yese+ Mbethlehemu.”+

  • Mathayo 1:6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  6 Yese akawa baba ya Mfalme Daudi.+

      Daudi akawa baba ya Sulemani+ kupitia mke wa Uria;

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki