MABAKULI
“bakuli la dhahabu” (Mhu 12:6): w99 11/15 17
mabakuli saba (Ufu 15, 16): re 218-220
la kwanza lilimwagwa ndani ya dunia (Ufu 16:2): re 221, 223
la pili lilimwagwa ndani ya bahari (Ufu 16:3): re 223-224
la tatu lilimwagwa ndani ya mito na chemchemi (Ufu 16:4-7): re 224-225
la nne lilimwagwa juu ya jua (Ufu 16:8, 9): re 225-227
la tano lilimwagwa juu ya kiti cha ufalme cha yule mnyama-mwitu (Ufu 16:10, 11): re 227-229
la sita lilimwagwa juu ya Efrati (Ufu 16:12): re 229-230
la saba lilimwagwa juu ya hewa (Ufu 16:17-21): w09 2/15 3-4; re 233-234
tarumbeta saba zinalinganishwa na mabakuli ili kuonyesha tofauti (Ufu 8-11): re 220, 228
mabakuli ya dhahabu yaliyojaa uvumba (Ufu 5:8): re 85, 87