ITALIA
(Ona pia Kiitaliano; Rome [Jiji la Siku Hizi]; Vatikani)
(Kuna kichwa kidogo: Mashahidi wa Yehova)
afya na magonjwa:
kaswende: g05 8/8 29
mizio (kuathiriwa na vitu mbalimbali): g97 8/22 28
Bari: g01 7/8 18-19
chakula:
piza: g 1/09 26-27
Civitavecchia:
sanamu ya Maria ‘yalia machozi ya damu’: g98 3/8 31; g96 6/8 28-29
Colosseum (Uwanja wa Duara):
maonyesho ya kisasa yanayofanana na mapigano ya kale ya Roma: w02 6/15 29
maonyesho ya michezo ya kale ya Wagiriki: w04 5/1 27-31
ukumbusho wa uharibifu wa Yerusalemu (70 W.K.): g96 2/22 31
dini:
Biblia za Flavio Kasiodoro na Keolfrithi (karne ya 6 na 7): w01 5/1 29-30
tafsiri za Biblia: w05 12/15 13-16
ulaghai: g97 9/22 9-10
uvutano unapungua: g 2/07 4-5; g97 12/8 29
familia: g04 6/22 28-29; g96 6/22 29
jina la Mungu:
katika kanisa kuu: g01 7/22 25
Kanisa Katoliki:
dini zaungana katika maombi ya amani huko Assisi (2002): g02 10/22 4-8
hifadhi ya nyaraka za Baraza la Kuhukumu Wazushi yafunguliwa (1998): g98 12/8 12-13
kadiri ambavyo makasisi wanajua Biblia: g04 7/8 28-29
kampeni ya kuwapinga Mashahidi wa Yehova: jv 512
kanisa kuu jijini Milan: g01 7/22 24-25
kashfa ya Banco Ambrosiano: re 264
Krismasi: w07 12/15 8-9
liliunga mkono kuvamiwa kwa Ethiopia (Abisinia, 1935-1936): re 262
limejifaidi tangu pesa za euro zianze kutumiwa: g02 8/22 29
linahusika katika biashara: re 264
majina ya wafuasi yanaweza kuondolewa katika orodha ya kanisa (2002): g03 9/8 28
mavazi yanayofaa mtu anapotembelea maeneo matakatifu: g99 2/8 28
Mwafaka wa Laterani (1929): re 262
“Siku ya Ulimwengu ya Sala kwa Ajili ya Amani,” Assisi (1986): re 249-251
ungamo katika maduka ya vitabu: g96 11/22 28
upungufu wa makasisi: g01 4/22 29; g99 9/22 28
vibandiko vya kuwakataza Mashahidi wasibishe mlango: jv 512
vijana Wakatoliki wadhaniwa kuwa Mashahidi wa Yehova: g 5/07 11
kioo: g04 5/22 16-18
magari:
matusi kwa sababu ya msongamano wa magari: g99 5/8 29
muda ambao watu wanakaa katika misongamano: g98 6/22 28
uchafuzi unaotokana na magari: g96 12/22 28
mahakama:
watu walioambukizwa ugonjwa walipotiwa damu yenye viini walipwa ridhaa: g99 9/8 28
majengo:
majengo yasiyoweza kustahimili tetemeko la ardhi: g97 12/22 29
majengo ya kale (trullo): g01 7/8 19
makao ya mapango ya Matera: w98 5/15 32; g97 7/8 16-19
maktaba mbalimbali:
Maktaba ya Ambrosiana: w06 2/15 13-14; g01 7/22 25
maonyesho kwa ajili ya watu waliotalikiana: g 3/11 29
marumaru:
Carrara na Pietrasanta: g04 9/22 23-25
Matterhorn: g96 2/8 16-19
matumizi ya dawa za kulevya: g 5/06 14
matunda:
limau: g 9/12 28-29
machungwa mekundu ya Sicily: g01 2/8 16-17
mti aina ya bergamot: g 6/07 24-25
mazingira:
ardhi yageuka kuwa jangwa: g98 5/8 29
mimea iliyo katika hatari ya kutoweka: g98 1/8 28
Milan: g01 7/22 24-27
Maktaba ya Ambrosiana: w06 2/15 13-14; g01 7/22 25
nyumba ya opera inayoitwa La Scala: g01 7/22 26
Mlima Etna: g05 9/8 14-17
Mlima Vesuvius: g 2/07 14-16
mlipuko (79 W.K.): w03 1/1 8
Mont Blanc: g 4/10 22-25
Monte Forato: w98 1/15 32
Murano: g04 5/22 16-18
Njia ya Apio: w10 1/1 11; bt 212; w06 10/15 14, 16-17; w04 12/15 16
Mikahawa Mitatu: w04 12/15 17
Pisa:
Mnara Unaoegemea wa Pisa: g00 9/22 29; g97 12/8 28
Polo, Marco: g04 6/8 23-27
Pompeii: g99 12/22 22; g97 5/22 30; g96 9/8 22-25
ramani: w11 7/15 22-23; w05 6/15 13; w05 12/15 13; g01 7/8 14; g01 7/22 24
Mlima Etna (Sicily): g05 9/8 15
Venice: g05 3/22 16
Rome: g01 7/8 14-17
Chemchemi ya Trevi: g 8/07 15
sanamu za kuchongwa zahifadhiwa: g98 8/8 28
Tao la Tito: g 4/11 13
uchafuzi wa hewa: g96 12/22 28
sanaa:
cameo (mapambo): g01 11/22 15-17
kuchonga vitu vya alabasta: g02 10/22 25-27
mapambo ya marijani: g02 11/22 18
sanaa ya picha mpangilio ya Florence: g 12/08 16-17
sayansi:
redio yabuniwa (Marconi): g96 10/8 19-20
serikali:
idadi ya serikali nchini Italia tangu Vita vya Pili vya Ulimwengu: re 106
Mapatano ya Laterani pamoja na Kanisa Katoliki (1929): re 262
Sicily:
simulizi la maisha la mtu aliyeshirikiana na Salvatore Giuliano: g96 6/22 18-23
televisheni: g97 12/22 28
tiba:
haki ya kukataa kutiwa damu mishipani yatetewa: g02 3/22 29; w96 11/15 24
Turin: g01 7/22 26-27
Sanda ya Turin: g01 7/22 27; g98 12/22 23-24
uhalifu: g97 8/8 28; g96 10/8 4
magenge ya wahalifu (Mafia): g97 3/8 5, 9
ulaghai: g97 9/22 7-10
wezi wasioadhibiwa: g96 6/22 29
usahaulifu: g98 10/8 28
usomaji:
mtazamo usiofaa kuhusu kusoma: g96 9/8 29
utalii:
tabia za watalii: g98 1/22 28
Vagnari:
mifupa ya mtu wa kale wa Asia Mashariki: w11 1/1 29
Val Camonica:
picha zilizochongwa kwenye miamba: g02 4/22 26-27
Venice: g05 3/22 16-19
gondola (mashua): g 5/07 23-25; g02 2/8 28
kuzuia mafuriko: g04 8/8 29
vijana:
dawa za kulevya: g04 6/8 29
vita:
Ethiopia (1935-1936): re 262
Volterra:
kuchonga vitu vya alabasta: g02 10/22 25-27
Waetruria: g97 11/8 24-27
Wakristo wa karne ya kwanza: w05 6/15 13
wanyama:
jamii za wanyama wanaoongezeka tena: g96 3/22 28
panyabuku: g03 1/8 15-17
watoto:
furaha: g02 7/8 29
wanawake wanaoahirisha kupata watoto: g04 10/8 28-29
watoto wachanga wanaachwa: g96 7/22 29
zoea sugu la kutazama televisheni: g97 3/8 28
Mashahidi wa Yehova
familia ya Betheli: w11 7/15 21
historia ya siku hizi:
Turin na Milan: g01 7/22 27
huduma ya shambani: jv 512
muda ambao umetumiwa tangu 1946: jv 379
kazi ya kuhubiri ilivyoanza: jv 409
wahamaji warudi na kuhubiri habari njema: jv 429
kesi za mahakamani:
kasisi na wakili wapatikana na hatia ya kuwaharibia Mashahidi sifa (1997): w98 8/15 31
kuwahubiria viziwi: w05 6/15 14-15; w04 1/1 17
kuwahubiria watu katika lugha inayozungumzwa na watu wachache tu katika eneo: w10 12/15 30; yb07 20; w05 6/15 14; w04 1/1 17
mwanamke mwenyeji wa Ukrainia adhaniwa kimakosa kuwa mwanamke mwingine: yb09 58-59
majambazi wabadili nia: yb06 63-64
Majumba ya Kusanyiko: w05 6/15 15; jv 330
Majumba ya Ufalme: w05 12/1 15-16
jengo lililokuwa kituo cha umeme (Pistoia): g 10/07 21
makusanyiko ya wilaya na ya kimataifa: w10 12/15 29; w98 5/15 32; jv 493
Milan (1947): w11 7/15 21
Milan (1957): jv 493
Rome (1969): jv 493
makutaniko: w11 7/15 21; w10 12/15 27; jv 501
kutaniko la kwanza: jv 406
mambo yaliyoonwa utumishini:
barua kwa mwanamume aliyefiwa ambaye alijibu kwa ukali: yb11 65-66
dada aongoza funzo la Biblia kwa kutumia simu: yb05 57-58
kampeni ya kuwaalika watu kwenye Ukumbusho: yb08 13
magereza: w05 6/15 15-17; w00 1/1 4-5
Mashahidi wajaribu kurudisha kibeti walichookota: w96 9/1 32
mjane aliyeogopa kuwakaribisha watu nyumbani kwake: yb10 9
mlanguzi wa dawa za kulevya: w05 9/15 8
msichana abeba kitabu Vijana Huuliza shuleni: g 10/08 32
mwanamke aliyedhaniwa kimakosa kuwa mwanamke mwingine aanza kujifunza Biblia: yb09 58-59
mwenendo wa Mashahidi makusanyikoni: w97 3/1 8
mwenye nyumba aliyekuwa na nguruwe mwenye hasira: yb10 60-61
Rais Sandro Pertini ahubiriwa: w11 7/15 23
video juu ya tengenezo (Organization) yaonyeshwa shuleni: w98 10/15 32
video kuhusu msimamo wa Mashahidi wakati wa Wanazi (Stand Firm) yaonyeshwa shuleni: g99 11/22 31
wahamiaji wahubiriwa: w05 6/15 14; w00 1/15 30-31
watawa wa kike: w00 1/15 31; w99 1/1 19
Mashahidi wasifiwa:
barua kutoka kwa Mkatoliki: w97 7/1 32
dereva wa basi: w10 11/15 21
gazeti Il Tempo: w02 11/1 12-13
gazeti la wauguzi: w04 6/15 28
L’Unità: g 8/10 4
magazeti (vyombo vya habari): w98 5/15 32; jv 179, 195; w96 9/1 32
meya wa Faenza: w97 5/1 6
Waziri wa Muungano wa Kijamii wa Italia: g00 8/22 32
Mashahidi Waswisi wasaidia: jv 442-443
Mashahidi watoa msaada:
mafuriko (2000): w02 1/15 32
tetemeko la ardhi (1980): jv 312
tetemeko la ardhi (1997): w02 1/15 32
mateso: jv 442-443
enzi ya Wanazi: w05 6/15 32
miji na majiji:
Brescia: w05 12/1 16
Cernobbio: w05 6/15 32
Florence: w10 12/15 27-28
Genoa: w05 12/1 16-17
Milan: w05 12/1 15-16; w96 8/1 22-23
Naples: w10 12/15 26-28
Rome: w96 8/1 24
Trieste: w96 8/1 23-24
Turin: w10 12/15 27-28
Verona: w96 8/1 24
ndugu na dada waliohitimu Shule ya Gileadi: w11 7/15 22
ofisi ya tawi: jv 378-379
ongezeko: w10 12/15 29; w05 6/15 13-17; jv 494, 512
tangu Tafsiri ya Ulimwengu Mpya ilipopatikana: jv 612-613
ripoti ya kila mwaka: yb11 42-43; yb10 34-35; yb09 34-35; yb08 34-35; yb07 34-35; yb06 34-35; yb05 34-35; yb04 34-35
Shule ya Utumishi wa Painia: jv 300
suala la damu:
mke apatikana hana hatia kuhusiana na kifo cha mume wake: w96 11/15 24
wazazi watiwa gerezani kwa shtaka la mauaji: jv 184
uchapaji: jv 378-379
mashine za uchapaji: jv 587
upinzani: w10 12/15 27
vibandiko vya kuwakataza Mashahidi wasibishe mlango: w00 5/15 32
upinzani wa makasisi: w11 7/15 21-22; jv 493, 666
kampeni ya Kanisa Katoliki ya kuwapinga Mashahidi: jv 512
vibandiko vya kuwakataza Mashahidi wasibishe mlango: jv 512
vijana:
ashinda ushawishi wa kuwa na uhusiano wa kimahaba shuleni: yb08 24-25
asifiwa kwa lugha yake safi: w02 9/15 9
insha kuhusu damu yasifiwa: g 6/09 30
mwanafunzi atumia picha kwenye jalada la Amkeni! kuchora bango la kupinga uvutaji wa sigara: g99 7/8 32
wazungumzia andiko la siku shuleni: w05 8/15 32
vitabu:
Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya: w05 12/15 16; g03 9/8 22; jv 612-613
kijitabu kuhusu tumaini la Ufalme (The Kingdom, the Hope of the World): jv 442-443
trakti Ecclesiastics Indicted (Makasisi Washtakiwa): jv 427
usambazaji: jv 512
waangalizi wanaosafiri: w11 7/15 21-23; w10 12/15 29
wamishonari: w11 7/15 21; w10 12/15 26-30; jv 493, 530, 532-533; w96 8/1 22-24
watu mbalimbali:
Abbatemarco, Francesco: g 8/06 20-22
Benanti, Charles (Carlo) na Constance (Costanza): w11 7/15 21; w05 12/1 13-17
Cuminetti, Remigio: jv 191
Fraese, Vito na Fern: w10 12/15 26-30
Fredianelli, George: w11 7/15 21; jv 532-533
Gatti, Piero na Lidia: w11 7/15 20-23
Mannino, Franck: g97 3/22 30; g96 6/22 18-23
Martinelli, Marcello: w11 7/15 21
Matheakis, Anna: w05 7/1 11-12
Moussanett, Lucia: g03 6/22 18-22
Pizzato, Maria: w11 7/15 21
Riet, Narciso: w05 6/15 32
Romano, Joseph (Giuseppe) na Angelina: w11 7/15 21
Tubini, Giuseppe: w11 7/15 20-22
Weber, Adolf: jv 409
ziara za—
Russell, C. T.: w05 6/15 13; jv 406