Biblia—Tafsiri ya Ulimwengu Mupya Habari Zenye Kuwa Katika 1 Mambo ya Nyakati KITABU CHA KWANZA CHA MAMBO YA NYAKATI HABARI ZENYE KUWA NDANI 1 Kuanzia Adamu mupaka Abrahamu (1-27) Wazao wa Abrahamu (28-37) Waedomu na wafalme wao na mashehe wao (38-54) 2 Wana kumi na mbili wa Israeli (1, 2) Wazao wa Yuda (3-55) 3 Wazao wa Daudi (1-9) Ukoo wa kifalme wa Daudi (10-24) 4 Wazao wengine wa Yuda (1-23) Yabesi na sala yake (9, 10) Wazao wa Simeoni (24-43) 5 Wazao wa Rubeni (1-10) Wazao wa Gadi (11-17) Wahagri wanashindwa (18-22) Nusu ya kabila la Manase (23-26) 6 Wazao wa Lawi (1-30) Waimbaji wa hekalu (31-47) Wazao wa Haruni (48-53) Makao ya Walawi (54-81) 7 Wazao wa Isakari (1-5), wa Benyamini (6-12), wa Naftali (13), wa Manase (14-19), wa Efraimu (20-29), na wa Asheri (30-40) 8 Wazao wa Benyamini (1-40) Ukoo wa Sauli (33-40) 9 Ukoo kisha kurudia kutoka katika uhamisho (1-34) Ukoo wa Sauli unatajwa tena (35-44) 10 Kifo cha Sauli na wana wake (1-14) 11 Israeli wote wanamutia Daudi mafuta ili akuwe mufalme (1-3) Daudi anakamata Sayuni (4-9) Wapiganaji-vita wenye nguvu wa Daudi (10-47) 12 Wenye waliunga mukono ufalme wa Daudi (1-40) 13 Sanduku linaletwa kutoka Kiriat-yearimu (1-14) Uza anapigwa na kufa (9, 10) 14 Daudi anawekwa kuwa mufalme (1, 2) Familia ya Daudi (3-7) Wafilisti wanashindwa (8-17) 15 Walawi wanabeba Sanduku mupaka Yerusalemu (1-29) Mikali anamuzarau Daudi (29) 16 Sanduku linawekwa katika hema (1-6) Wimbo wa shukrani wa Daudi (7-36) “Yehova amekuwa Mufalme!” (31) Utumishi mbele ya Sanduku (37-43) 17 Daudi hatajenga hekalu (1-6) Agano pamoja na Daudi kwa ajili ya ufalme (7-15) Sala ya Daudi ya shukrani (16-27) 18 Ushindi mbalimbali wa Daudi (1-13) Usimamizi wa Daudi (14-17) 19 Waamoni wanatendea mubaya wajumbe wa Daudi (1-5) Ushindi juu ya Amoni na Siria (6-19) 20 Raba inakamatwa (1-3) Wafilisti wenye ukubwa wa ajabu wanauawa (4-8) 21 Daudi anahesabia watu bila ruhusa (1-6) Azabu kutoka kwa Yehova (7-17) Daudi anajenga mazabahu (18-30) 22 Daudi anafanya matayarisho kwa ajili ya hekalu (1-5) Daudi anamupatia Sulemani maagizo (6-16) Wakubwa wanapewa amri wamusaidie Sulemani (17-19) 23 Daudi anapanga Walawi (1-32) Haruni na wana wake wanawekwa pembeni (13) 24 Daudi anapanga makuhani katika vikundi makumi mbili na ine (1-19) Kazi zingine za Walawi (20-31) 25 Wapiga-muziki na waimbaji kwa ajili ya nyumba ya Mungu (1-31) 26 Vikundi vya walinzi wa milango mikubwa (1-19) Waweka-hazina na maofisa wengine (20-32) 27 Maofisa katika kazi ya mufalme (1-34) 28 Hotuba ya Daudi juu ya ujenzi wa hekalu (1-8) Maagizo kwa Sulemani; plani ya ujenzi inatolewa (9-21) 29 Michango kwa ajili ya hekalu (1-9) Sala ya Daudi (10-19) Watu wanafurahi; ufalme wa Sulemani (20-25) Kifo cha Daudi (26-30)